Tawakkul Katika Qur’ani /10
IQNA – Baadhi ya watu humkumbuka Mwenyezi Mungu pale tu wanapojiridhisha kuwa njia zote zimefungwa. Ni pale wanapoona kuwa kila njia imezibwa ndipo huamua kumtegemea Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3480532 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
Tawakkul katika Qur’an Tukufu /9
IQNA – Baadhi ya imani za kidini si tu kwamba zinakuwa masharti ya kiakili ya Tawakkul, bali pia huathiri mwenendo na tabia ya mwanadamu.
Habari ID: 3480516 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/09
Tawakkul Katika Qur’ani/8
IQNA – Katika Surah Hud, baada ya kueleza visa vya baadhi ya manabii wakubwa wa Mwenyezi Mungu – akiwemo Nuhu, Hud, Swaleh, na Shu’ayb (amani iwashukie wote) – na namna walivyomtegemea Mwenyezi Mungu (Tawakkul) licha ya dhuluma na mateso kutoka kwa watu wao, Qur’ani Tukufu inamaliza kwa ujumbe wa ajabu, mfupi lakini wenye uzito mkubwa wa kiroho na kielimu.
Habari ID: 3480508 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
Tawakkul Katika Qur'ani /7
IQNA – Masharti ya kifalsafa ya Tawakkul yanahusiana na ufahamu na imani ambayo mtu lazima awe nayo kuhusiana na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3480504 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/06
Tawakkul katika Qur'ani / 6
IQNA – Tofauti kuu kati ya mtu wa kweli Mutawakkil (anayemtegemea Mwenyezi Mungu) na wale wasio na imani kwa Mwenyezi Mungu iko kwenye imani zao.
Habari ID: 3480447 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/27
Tawakkul katika Qur'ani /5
IQNA – Pointi muhimu katika kuchunguza Tawakkul (Kumtegemea Mwenyezi Mungu) katika Qurani Tukufu ni kwa mtazamo wa kimaumbile.
Habari ID: 3480441 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26
Tawakkul katika Qur'ani /3
IQNA – Tawakkul (kumtegemea Mwenyezi Mungu) ni neno lenye maana pana katika nyanja za dini, tasawwuf, na maadili.
Inahusiana na dhana mbalimbali, ikiwemo imani na uchaji Mungu.
Habari ID: 3480436 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25
Tawakkul katika Qur'ani/2
IQNA – Tawakkul inamaanisha kuwa na ujasiri, imani, na kutegemea tu uwezo na maarifa ya Mwenyezi Mungu, bila kuwa mtegemezi kwa wanadamu au vinginevyo.
Habari ID: 3480396 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/18
Uislamu ni Dini Sahihi
Qur'an Tukufu inasema katika sehemu ya Aya ya 3 ya Surah Al-Ma'idah kwamba "leo ukafiri umekata tamaa na dini yako na dini yako imekamilika.
Habari ID: 3479051 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/02
Mawaidha
IQNA – Qur’ani Tukufu katika aya nyingi inazungumza kuhusu majaribu au mitihani ya Mwenyezi Mungu na jinsi Mwenyezi Mungu huwajaribu wanadamu.
Habari ID: 3478127 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01
Sura za Qur'ani Tukufu /87
Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu na ana ujuzi kamili na usiobadilika wa yaliyo dhahiri na yaliyofichika.
Habari ID: 3477185 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24
Sura za Qur'ani Tukufu / 67
TEHRAN (IQNA) – Uwezo usio na kikomo wa Mwenyezi Mungu umeonyeshwa katika Sura tofauti za Qur’ani Tukufu, lakini kwa namna ya pekee katika Sura Al-Mulk, inayoashiria mamlaka na adhama ya Mwenyezi katika ulimwengu wote.
Habari ID: 3476694 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12
Shakhsia katika Qur'ani Tukufu / 13
TEHRAN (IQNA) – Ni sunna ya Mwenyezi Mungu huwajaribu waja wake na mitihani hii wakati mwingine ni rahisi na wakati mwingine migumu. Hakuna mtu mwingine ambaye angeweza kustahimili mitihani ambayo Mwenyezi alimpa Nabii Ibrahim (AS).
Habari ID: 3476252 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15
Sura za Qur'ani Tukufu / 46
TEHRAN (IQNA) – Watu wanaishi kwa uhuru wakiwa na imani na mawazo tofauti. Wanaweza kukataa ukweli na kufuata mawazo ya uwongo lakini wanapaswa kujua nini hatima inayowangoja wale wanaoikadhibisha ukweli na kufuata uwongo.
Habari ID: 3476225 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10
Fikra za Kiislamu
Tehran (IQNA) - Manadamu anahitaji kujua njia ya haki na kuwa na kuwa na mlingano katika chochote anachotaka kufanya. Njia muhimu zaidi ambayo mwanadamu anapaswa kufuata ni ile inayomuelekeza katika wokovu.
Habari ID: 3476041 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kusafiri sio tu kunaweza kuwa na faida za burudani lakini pia kuna jukumu kubwa katika kuboresha afya ya mtu kiakili. Ndio maana Qur'ani Tukufu ikapendekeza kusafiri na kujionea dunia.
Habari ID: 3475655 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21
Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu, alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi.
Habari ID: 3475280 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22
TEHRAN (IQNA) - Njia ya maisha ya mwanadamu imepambwa kwa hadaa na vishawishi mbalimbali vya kumdanganya mwanadamu; masuala haya ya hadaa hufanya iwe vigumu kwa wanadamu kufikia malengo halali aliyojiwekea maishani.
Habari ID: 3475225 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09